Mwana JF aukwaa uongozi wa watanzania huko Uholanzi

Status
Not open for further replies.

Mkuu kale kaibara ka 15 ka chama chetu umekasahau? Au hakatumika ughaibuni?
 
Mkuu kale kaibara ka 15 ka chama chetu umekasahau? Au hakatumika ughaibuni?

Balozi hatakiwi kutekeleza ibara ya 15:1 kwani yeye hakwenda huko kama mwakilishi wa CCM bali mwakilishi wa nchi, ndo maana ni makosa balozi kujiusisha na mambo ya cha kimojawapo anapokuwa ughaibuni hata kama anatetea CHADEMA, TLP au CUF anafanya makosa.
 
Mkuu ni makosa ya wapi? Anakosea sheria zipi? Kama yeye ni mwanachama wa Sisiem (kitu ambacho mara nyingi ni kweli) hawajibiki kutekeleza ibara ya 15.1? Nini kinamzuia? Kama ni sheria, ni zipi?
 
Mkuu ni makosa ya wapi? Anakosea sheria zipi? Kama yeye ni mwanachama wa Sisiem (kitu ambacho mara nyingi ni kweli) hawajibiki kutekeleza ibara ya 15.1? Nini kinamzuia? Kama ni sheria, ni zipi?

Kwa sheria za tanzania mwajiriwa wa serikalio hatakiwi kujiusisha na siasa sehemu ya kazi, balozi ni mwakilishi wa raisi kwa nchi husika haiwezekani hafanya shuguli za chama wakati anajua yeye anawakilisha watanzania wote, inakuwa ni vigumu kutofautisha muda wa serikali na muda wa chama au resources nyingine za serikali zinaweza kutumiwa kwenye shuguri za chama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…