Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Sas
Sasa mitandao mnazima ya nn kama nyie ni washindi
 
Takataka Mayalla tena
Hajasema tu “Mimi ni Msukuma mwenzio Magufuli “ jinga linazeeka hilooo
 
Ila chama chake ndo chama dola unategemea ataogopa wapi ???
 
Hongera na asante P
 
Washindi kwa kuzima internet
 
Mkuu Pasco kwaiyo tusiende kupiga kura matokeo tayari yapo mezani au?
Mkuu@masulupwete, ni muhimu sana kwenda kupiga kura ili kukamilisha tuu taratibu, na ukifika kituoni, ili usipoteze kura yako kwa kuchagua chama cha kshindwa au mgombea wa kushindwa, kakipigie kura chama cha ushindi
P
 
Kama unaona hivyo kwa mshindi wa kiti cha uraisi je ? Hukuona wakati unaingia kwenye ubunge kwamba ungepata kura 1 tu ???
 
Wajumbe hamuwezi kuamini kuwa CCM inachinjwa itakakoelekea,jana huko Zanzibar CCM imefungwa bao la kisigino. CCM na vyombo vyao wameingia wazimawazima,tatizo ccm wakiambiwa nyote si ccm na ndani ya hivyo vyombo wamo kama sisi tunaoipinga CCM ,pangeni mema ili muondolewe kwa heshima hawasikii,mara hii wanaondolewa kwa waibu.
 
Asante Sana Pascal kwa andiko lako lenye ujumbe mzito.
Mimi nimekuelewa na ninaunga mkono kuwa safari hii CCM inashinda viti vyote pia kwa umakini wake ulioanzia wakati wa kujiandikisha kupiga kura nabkurekebisha taarifa zao kitu ambacho chadema walidharau zoezi hilo hivyo wamebaki kwenye ushabiki na kura hawapigi.
Nimethibitisha Leo kwenye Kituo nilichokuwa napigia kura wakala wa chadema alipotakiwa apige kura akasema yeye hapigi kura hajajiandikisha.
Dhahiri CCM inashinda kwa kishindo kizito.
 

Ushindi Upo wazi kwa CCM
 
Ila chama chake ndo chama dola unategemea ataogopa wapi ???
HOJA ya msingi ni kuwa, kama kweli hakuogopa angethibitisha kwa kufata katiba ya chama chake inayoruhusu uwepo wa wagombea wengi. Huo udikteta ndio kiashiria kikuu cha uoga
 
Pasco, Pasco, Pasco Mayalla a.k.a Njaa......huwaga nasoma thread zako wakti mwingine nabaki nacheka tu[emoji23][emoji16]
Kwa sifa ulizojimiminia hapa inaonekana CV yako ni kiboko...!!!..maana kila kitu wewe ni 1st(Kwanza)!
Biblia inasema WA KWANZA ATAKUWA WA MWISHO.
Nikiwa muumini wa Dini kamwe huwezi KUPINGANA na Neno la Mungu!
Hivo pamoja na kuwa wa Kwanza kwenye issues nyingi bado wewe ni wa MWISHO. Ndo maana ulipotangaza nia jimbo la Kawe kupitia CCM unayoipigia debe kama Kada mkereketwa uliambulia KURA 1 NA KUWA WA MWISHO.
Ushauri wa bure: Kwene society ukipenda sana kujisifia sifia Binafsi na kujiona wewe ni Bora na unajua kila Kitu KARMA laxima ichukue mkondo wake!!!
Phycologists wanasema mtu anayependa kutumia..."I" ; "Nita"; Nime....etc, mtu huyo ana ubinafsi wa Hali ya juu na HAWEZI KUFANYA KAZI NA WENGINE KAMA TIMU. Mtu huyo Hana Ushirikiano na hawezi KUFANYA Jambo linaloshirikisha wengine!!!
Hii habari ya prediction who was and who's gonna be the President of Tanzania is immaterial here....!!!!;;
Tunajua we ni KADA MKEREKETWA WA CCM hivo kusema Magufuli gonna be a President is because you know Magufuli and his party CCM has been always RIGGING elections(1995-2015) through NEC( The NATIONAL ELECTION CRIMINALS) Period!
 

Aise kama Kuna Wasukuma wajanja wajanja na Opportunists hapa Tanzania basi PASCAL MAYALLA(njaa) is one of them!
 
Nimegundua kitu ktk bandiko lako kwamba Tanzania ina waandishi vimeo wengi sana na wewe ni mmoja wao
Pia nimegundua kuwa Tanzania ina waandishi wa habari wenye akili kubwa ila wewe hujawahi kuifikia hiyo level
Nawiwa kusema wazi huwezi kuwa na akili ama kuifikia skill ya Godwin Gondwe hata Meko anaujua huo ukweli kwamba hujahitimu bado hivyo huna sifa ya kupewa hata ukatibu kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…