Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza
Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali.
Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo, kwa leo na jinsi alivyo tupia, kiukweli ametokelezea sana na amechangia vizuri sana. Hebu mshuhudie kupitia Bunge Live!.
Watch Bunge live now!.
Paskali
Links
Huyu Dada nilipenda utendaji wake toka yupo Chadema, hivyo alipotimuliwa kule, niliumia sana na nikajaribu kumpigania Sana Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
Hata katika shughuli mbalimbali za kijamii, nilimfuatilia Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!
Hata akijibu swali bungeni baada ya kuula, tulimfuatilia