Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mheshimiwa Juliana Shonza, njoo pm mama ili tupeane muongozo wa namna ya kuja mjengoni. Nataka nikija kuwatembelea hapo na Waheshimiwa wengine ambao nao ni Wajumbe wa jamii forums, mnitambulishe kwa hii ID yangu!
Yaani Mheshimiwa Spika Tulia Ackson aseme hivi "Waheshimiwa Wabunge, leo Mheshimiwa Juliana Shonza na Waheshimiwa Wabunge wengine ambao ni Wajumbe wa Jamii Forums akiwemo.............,.......! Wamepata bahati ya kutembelewa na Mjumbe mwenzao Tate Mkuu, kutoka Lushoto, Tanga!"
Halafu nasimama mzee mwenyewe! Full misuti ya gharama nini!!!