Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

Wanabodi

Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza

Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali.

Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo, kwa leo na jinsi alivyo tupia, kiukweli ametokelezea sana na amechangia vizuri sana. Hebu mshuhudie kupitia Bunge Live!.

Watch Bunge live now!.

Paskali
Links
Huyu Dada nilipenda utendaji wake toka yupo Chadema, hivyo alipotimuliwa kule, niliumia sana na nikajaribu kumpigania Sana Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

Hata katika shughuli mbalimbali za kijamii, nilimfuatilia Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!
sidhani kama atakukubalia kwa kutumia njia hii,
jaribu kivingine

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ni yeye sahivi ni kuimba mapambio kwa COVID 19 hana namna.
Mkuu Bejamini Netanyahu, mimi ni miongoni mwa wanamuziki humu JF, na kuimba nyimbo za shangwe na mapambio ni moja ya kazi zangu, za kujitolea tuu na sio za kunipatia mkate wangu wa kila siku. Kwa upande wa mkate wangu wa kila siku, mimi ni Kozi mwana mandanda...
P.
 
Mke wa mtu unamuita binti mdada mzuri...

Ova
Mkuu mrangi, sisi jf members we are all equal, humu hakuna mke wa mtu wala mume wa mtu, hakuna mzee wala kijana, tunatambuana kwa titles tulizo jiunga nazo JF, humu JF, huyu ni mdada, binti mrembo, ndivyo alivyojiunga jf, binti akiolewa hubadili title kuwa Mrs fulani, as long as hajabadili jina lake humu, humu anaendelea kutambulika by her maiden name, hata Bungeni ni hivyo hivyo, halafu hiyo ya kuwa ni mke wa mtu ni nyumbani kwake na mumewe.
P
 
Mkuu Bejamini Netanyahu, mimi ni miongoni mwa wanamuziki humu JF, na kuimba nyimbo za shangwe na mapambio ni moja ya kazi zangu, za kujitolea tuu na sio za kunipatia mkate wangu wa kila siku. Kwa upande wa mkate wangu wa kila siku, mimi ni Kozi mwana mandanda...
P.
Nakubaliana na wewe mkuu hakuna mbabe mbele ya njaa wewe sahivi unakula taratibu COVID 19 wameshamaliza kazi yao
 
Back
Top Bottom