Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

Mheshimiwa Juliana Shonza, njoo pm mama ili tupeane muongozo wa namna ya kuja mjengoni. Nataka nikija kuwatembelea hapo na Waheshimiwa wengine ambao nao ni Wajumbe wa jamii forums, mnitambulishe kwa hii ID yangu!

Yaani Mheshimiwa Spika Tulia Ackson aseme hivi "Waheshimiwa Wabunge, leo Mheshimiwa Juliana Shonza na Waheshimiwa Wabunge wengine ambao ni Wajumbe wa Jamii Forums akiwemo.............,.......! Wamepata bahati ya kutembelewa na Mjumbe mwenzao Tate Mkuu, kutoka Lushoto, Tanga!"

Halafu nasimama mzee mwenyewe! Full misuti ya gharama nini!!!
 
Mzee Pascal Mayalla acha tabia ya kusifia wake za watu humu jukwaani....acha kabisa.
 
Wewe utakuwa unahisia nae za kimwili, maana root of the content imeshiba kwenye umbo lake nasio hotuba
 
Sio misuti ya mterezo😆
 

Kwani mme wake anasemaje!!?
 
Huwezi kumsifia mwanamke bila kurejelea her physical attributes? Angekuwa ni mwanaume ungefanya hivyo? Urembo na uzuri wake wa mwili umechangia nini katika hiyo hoja aliyoitoa? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Acha hizo bana, kwani wewe ukimuona mwanamke mrembo, kajiremba kwa wastani, huvutiwi na kuburudika kumuangalia!!?? 🤣 😝
 
Mkuu paskali ni hilo tu!
 
Mkuu pasco una tatizo binafsi na CHADEMA? Je kuna mahali walikukosea pakubwa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…