Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Bora Kabisa Ni
Jamiiforums Home Of Great Think
 
Sasa si mngetangaza mapema kuwa mwaka huu kina program za kutafuta Mwana JF bora ili tujipange??.
 
ili mtu awe bora lazima awe amefanya yafuatayo:
1. ametoa fursa za ujasiria mali hapa jf
2. ametoa misimamo ya namna ya kujikomboa kutoka kwenye umaskini hadi utajiri
3. mada zake zina ukombozi na zina uzalendo kwa mtanzania
4. ameimiza sana vijana kupiga kazi na kujikomboa na umaskini
5. hana itikadi za chama chochote cha siasa,yeye ni mshauri tu wa jambo lolote

MWISHO: MWENYE HIZO SIFA HUMU NDO ATAKUWA GREAT THINKER BORA
not neccessary cz humu ndan kuna majukwaa mengi sana na mengne hayahtaj hayo uliyoandika hapo
 
Back
Top Bottom