mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
no. 4 na 5Mawili ambayo hujafanya ni yapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no. 4 na 5Mawili ambayo hujafanya ni yapi?
Hizi napata 3 na nakuwa na maksi 15 kabisaView attachment 2938124
Ongezea na hizo!! It's a 0% score.
Hiyo ngumu sana kwa mwanaume 🤣🤣Dr. Ungesema hujawahi ku cheat ningeandamana😂
Mgonjwa fake anakuita kwake haha😂Hiyo ngumu sana kwa mwanaume 🤣🤣
Tunakumbna na Mambo mengi sana na mwisho wa siku tunajikuta tunazidiwa
Ni zipi hizo mkuuHizi napata 3 na nakuwa na maksi 15 kabisa
Have.....been✅️ probably is more correct!!26 yrs
I had never attached with bad habit like sex ,Alcoholic,drug , cheating, stealing and etc.
I'm familiar and friendly with positivity stuffs
Iike ideal soulmate , ideal friends
Ideal companion
God is Good , I'm not surviving I'm living ,
MKuu endelea kuishi na kujitunza nilianza kunywa Pombe nilipokuwa na miaka 30 hivi ila nashukur nimeanza kwa miaka sita sasa26 yrs
I had never attached with bad habit like sex ,Alcoholic,drug , cheating, stealing and etc.
I'm familiar and friendly with positivity stuffs
Iike ideal soulmate , ideal friends
Ideal companion
God is Good , I'm not surviving I'm living ,
7,5 na 2Ni zipi hizo mkuu
kusema ukweli ni zero 🐒1. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Mkuu hiyo number 5 ulikuwa unafanya fasting ama vipi?
Hongera Dr ikiwa umeacha ni jambo jema Sana.MKuu endelea kuishi na kujitunza nilianza kunywa Pombe nilipokuwa na miaka 30 hivi ila nashukur nimeanza kwa miaka sita sasa
2/51. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
5 marks 🥴🥴View attachment 2938124
Ongezea na hizo!! It's a 0% score.
Usipotulia na mama paroko inakuja kuwa 4/5