Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo na kula 20x5=%100 🤠1. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Umeambulia tano?😅😅, yaani 5/35...mideko umetisha! Ni ipi uliyopatia.?5 marks 🥴🥴
Ni hatua ambayo sijisifu mimi japo ilinitesa mpaka kufikia uamuzi i had kufanya meditation for 9 months..Hongera Dr ikiwa umeacha ni jambo jema Sana.
No 2Umeambulia tano?😅😅, yaani 5/35...mideko umetisha! Ni ipi uliyopatia.?
-5/51. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Noma sana, nimeambulia 0%😅No 2
Sasa Kila mtu angeweza kutofanya hayo, hayo Makanisa na Misikiti ingekuwa na kazi gani?
Alafu naona unataka watu wapoteze ajira zao kwenye Viwanda vya Beer, Sigara, na Viwanda vya Porn 🙌
Hongera Sana mkuu kwa kuwa mwaminifu kwa mwenza wako.Namba 3 .Nikimpenda mtu simchanganyi namtu mwingine . Hata kama yupo mbali hata iweje
You have never lived kabisa....1. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Usijali Mkuu 🙏Sina Nia mbaya mkuu