T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Maostaz gani tena hao?Mkuu unajulikana had mitaan
Nimekuta juzi maostaz wanakuzungumzia
Sema juzi ulikimbia uzi wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwe na hofu na mimi.
Mimi ni miongoni mwa binadamu wachache walio katika hatari ya kupotea duniani.
Kwahiyo inaweza kuchukua miaka zaidi ya milioni 4 kupatikana mtu mwema kama mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaweza kuwapa tuzo Moderators maana wana comedy sana.
.........[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kitengo cha comedy
Hebu tuwekee list
Kuna watu wanachekesha humu jf sijawahi ona
[emoji38][emoji38][emoji109][emoji109]Mshana Jr hao wengine unawajua wewe..[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
[emoji38][emoji38][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji117]Naungana na wewe kama kura inaenda kwa mganga majukwaa yote utamkuta kaandika na thread zake nyingi ni useful mfano mmu ile post ya malezi ya watoto, zingine za kuchangamsha kama ile ya walipa kodi [emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji1635][emoji1635][emoji1634][emoji1634] ipo habari na hoja mchanganyiko, huyu mganga anacover sehemu nyingi wengine utawakuta maarufu jukwaa letu pendwa lile la chini kabisa, shogangu Shunie yeye maarufu mmu.
[emoji120][emoji120][emoji120]Nimeingia jf mtu wa kwanza kumfahamu Ni Mshana Jr...
Thread yake ya mambo ya kibudha ilinisisimua..nikajikuta nasoma tena na Tena
Wa pili alikuwa Kiranga..
Nilishangaa Sana kwa Mara ya kwanza naona watu hawaamini uwepo wa Mungu..na anabishana na watu Hadi anawashinda .
Mwanzo nilijua anatania
[emoji109]Mshana Jr
Pengine na ID yake ya zamani kaiweka kwenye hiyo list aliyoileta!Yanu id yako haina hata mwezi mara umeshawajua watu wote hao [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee...haya Kaka viatu vya samaki
Wewe wacheke, shauri yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akhsante Sana.Sawa sawa mkuu, karibu.
Hivi mods Ni wajomba zako!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe wacheke, shauri yako.