Mwana JF maarufu ni yupi?

Mwana JF maarufu ni yupi?

Kunde ekeke yuko wapi.wapi Mzizi Mkavu. Faiza fox mtetezi wa wale wa imani ile. Islamabad mtetezi wa wahaya na kagera nzima. Wyatt matthewson? wa ughaibuni (huyu ana lugha kali ukimchanganya). Ruttashobolwa mtetezi wa kijani
 
Mkuu unajulikana had mitaan

Nimekuta juzi maostaz wanakuzungumzia

Sema juzi ulikimbia uzi wangu
Maostaz gani tena hao?

Uzi wako sijaukimbia, na mimi sina tabia ya kukimbia uzi, na siwezi kuanza ukubwani tabia hiyo, labda tumepishana tu.

Uko wapi uzi unaosema nimeukimbia?
 
Usiwe na hofu na mimi.

Mimi ni miongoni mwa binadamu wachache walio katika hatari ya kupotea duniani.

Kwahiyo inaweza kuchukua miaka zaidi ya milioni 4 kupatikana mtu mwema kama mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee...haya Kaka viatu vya samaki
 
Naungana na wewe kama kura inaenda kwa mganga majukwaa yote utamkuta kaandika na thread zake nyingi ni useful mfano mmu ile post ya malezi ya watoto, zingine za kuchangamsha kama ile ya walipa kodi [emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji1635][emoji1635][emoji1634][emoji1634] ipo habari na hoja mchanganyiko, huyu mganga anacover sehemu nyingi wengine utawakuta maarufu jukwaa letu pendwa lile la chini kabisa, shogangu Shunie yeye maarufu mmu.
[emoji38][emoji38][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji117]
 
Nimeingia jf mtu wa kwanza kumfahamu Ni Mshana Jr...
Thread yake ya mambo ya kibudha ilinisisimua..nikajikuta nasoma tena na Tena

Wa pili alikuwa Kiranga..
Nilishangaa Sana kwa Mara ya kwanza naona watu hawaamini uwepo wa Mungu..na anabishana na watu Hadi anawashinda .
Mwanzo nilijua anatania
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom