Huyu jamaa respect sana kwenye maswala ya technology. Hakuna memba anamfikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Sasa kama umechagua kutokuamini ata nikikujuza si itakua ni kazi bure blazaa..Siyo tu siamini uchawi upo, sitaki kuamini chochote, nataka kujua.
AiseeNakuunga mkono hoja ila kwenye ishu za umbea michambo mipasho na upunga kwa ujumla
Aiseewewe labda ikiwekwa list ya wanawake tupu.
Imani ni haki ya kila mtu kikatiba aamue anaamini au haamini vipi.Sasa kama umechagua kutokuamini ata nikikujuza si itakua ni kazi bure blazaa..
Wana chitchat, karibuni kwenye shindano la kumpata Mwana jf ambaye ni maarufu, napendekeza majina haya yaingie kwenye mzunguko wa kwanza ambayo, baadae yatapigiwa kura
1.pascal mayalla
2.Mshana jr
3.BAK
4.YEHODAYA
5.BARBAROSA
6.SHUNIE
7.MISS NATAFUTA
8.EVELYNE SALT
9.JOSE EVEREST
10.LARA 1
11.PETRO MSELEWA
Kama kuna jina nimelisahau, litajeni lishindanishwe !
Karibuni
Imani ni haki ya kila mtu kikatiba aamue anaamini au haamini vipi.
Hii imewekwa mpaka kwenye Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948. Si Tanzania tu.
Lakini, facts zinajikita kwenye ukweli zaidi, si imani tu.
Sijadili imani. Hiyo ni haki ya kila mmoja kuamini anavyotaka.
Najadili fact.
Fact haiendani na kuamini, belief ndiyo inaendana na kuamini.Wewe unaweza ukaambiwa fact lakini ukaamua usiamini kwa sababu kuamini na kutokuamini iko ndani ya uwezo wako....
Kuto kujua ukweli hakukufanyi kuwa mjinga bali kukataa ukweli ndo kunakufanya wewe kua mjingaFact haiendani na kuamini, belief ndiyo inaendana na kuamini.
Fact inaenda na kujua, knowledge.
Get your facts right.