Mwana JF maarufu ni yupi?

Mwana JF maarufu ni yupi?

Sasa kama umechagua kutokuamini ata nikikujuza si itakua ni kazi bure blazaa..
Imani ni haki ya kila mtu kikatiba aamue anaamini au haamini vipi.

Hii imewekwa mpaka kwenye Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948. Si Tanzania tu.

Lakini, facts zinajikita kwenye ukweli zaidi, si imani tu.

Sijadili imani. Hiyo ni haki ya kila mmoja kuamini anavyotaka.

Najadili fact.
 
Wana chitchat, karibuni kwenye shindano la kumpata Mwana jf ambaye ni maarufu, napendekeza majina haya yaingie kwenye mzunguko wa kwanza ambayo, baadae yatapigiwa kura
1.pascal mayalla
2.Mshana jr
3.BAK
4.YEHODAYA
5.BARBAROSA
6.SHUNIE
7.MISS NATAFUTA
8.EVELYNE SALT
9.JOSE EVEREST
10.LARA 1
11.PETRO MSELEWA

Kama kuna jina nimelisahau, litajeni lishindanishwe !
Karibuni
 
Wewe unaweza ukaambiwa fact lakini ukaamua usiamini kwa sababu kuamini na kutokuamini iko ndani ya uwezo wako....
Imani ni haki ya kila mtu kikatiba aamue anaamini au haamini vipi.

Hii imewekwa mpaka kwenye Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948. Si Tanzania tu.

Lakini, facts zinajikita kwenye ukweli zaidi, si imani tu.

Sijadili imani. Hiyo ni haki ya kila mmoja kuamini anavyotaka.

Najadili fact.
 
Wewe unaweza ukaambiwa fact lakini ukaamua usiamini kwa sababu kuamini na kutokuamini iko ndani ya uwezo wako....
Fact haiendani na kuamini, belief ndiyo inaendana na kuamini.

Fact inaenda na kujua, knowledge.

Get your facts right.
 
Fact haiendani na kuamini, belief ndiyo inaendana na kuamini.

Fact inaenda na kujua, knowledge.

Get your facts right.
Kuto kujua ukweli hakukufanyi kuwa mjinga bali kukataa ukweli ndo kunakufanya wewe kua mjinga
 
Back
Top Bottom