Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Nimemiss zile team..Teh Teh. Unakumbuka wewe ulinichora katuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile timu ilikua kiboko mpaka nikafika ile hatua maana mlikua mmenipanda kichwani teh teh..
Yale yalikua si mapenz bali mahaba
 
Kna wt hum wana vyodo sio nyodo tena , Kama faiza foxy..!!!
 
SIPO KIMRENGO WA SIASA:
Nilichogundu watu wanaokubalika humu ni wana dalili za kuwa na IQs kubwa...wanaweza kuchambua jambo na kuona pande zote mbili za sarafu....binafsi nimewaona wakiichambua na kukosoa vitu muhimu kama vyama, mahusiana,uchumi, na serikali....Nashukuru UKUTA hakufanyika maana hapa tungewapoteza wenye busara wengi....pia kuna kina dada/mama wanaofanya vizuri.

VI.LAZA wanaoburuzwa na mwelekeo wa upepo wameangukia kwenye kundi la nyodo.Pia kuna watu smart waliojitoa ufahamu na kujipalia egotism.Njaa pia imechangia kuwepo kwa wenye nyodo wengi.

ANGALIZO:
mshana jr kuwekwa kwenye kundi la wenye busara ni alama tosha kwamba uchawi bado upo na unasaidia kwa wanaouamini!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken ID
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken ID
Mkuu sisi tunatengenezea reality hapa JF.Tofauti na humu jf, huko nje waweza kuwa ni mchungaji wangu, WHO KNOWS?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken ID
Teh teh teh teeeeh!!
 
Teh teh... tilikuwa tunawanyoosha. Na data, team mbaya kweli
VOTE VOTE FOR DAVIDO TEH TEH. HADI NILIKUWA NATAMANI KULIA
Aisee ilikuwa ni hatarii... Utadhani tulikuwa twalipwa...!??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile timu ilikua kiboko mpaka nikafika ile hatua maana mlikua mmenipanda kichwani teh teh..
Yale yalikua si mapenz bali mahaba
Mazigazi yuko wapi? Aliniamulia siku moja hadi kidogo niombe poo!! I heart Kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…