MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Heeee huu uzi bado upo tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe nili mentiomDuh usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa....kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
Poa sana cute..umepotea sana sio vizuriMkuu mambo. Kitambo sana Teh teh
Nimemiss zile team..Teh Teh. Unakumbuka wewe ulinichora katuniPoa sana cute..umepotea sana sio vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile timu ilikua kiboko mpaka nikafika ile hatua maana mlikua mmenipanda kichwani teh teh..Nimemiss zile team..Teh Teh. Unakumbuka wewe ulinichora katuni
Teh teh... tilikuwa tunawanyoosha. Na data, team mbaya kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile timu ilikua kiboko mpaka nikafika ile hatua maana mlikua mmenipanda kichwani teh teh..
Yale yalikua si mapenz bali mahaba
Haha ila ilikua raha sana..tulikua tunatoana povu si lakitotoTeh teh... tilikuwa tunawanyoosha. Na data, team mbaya kweli
VOTE VOTE FOR DAVIDO TEH TEH. HADI NILIKUWA NATAMANI KULIA
Teh tehHaha ila ilikua raha sana..tulikua tunatoana povu si lakitoto
Yan ile kampeni yenu ya [HASHTAG]#vote4davido[/HASHTAG] nilimaind
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unamng'ong'a ngabu
Busara??SKYESCLAT na KASINDE nawakubali hawa wanamama kutokana na michango yao iliyotukuka!!!!wapo vzr kwny kumwaga nondo aiseee!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken IDSIPO KIMRENGO WA SIASA:
Nilichogundu watu wanaokubalika humu ni wana dalili za kuwa na IQs kubwa...wanaweza kuchambua jambo na kuona pande zote mbili za sarafu....binafsi nimewaona wakiichambua na kukosoa vitu muhimu kama vyama, mahusiana,uchumi, na serikali....Nashukuru UKUTA hakufanyika maana hapa tungewapoteza wenye busara wengi....pia kuna kina dada/mama wanaofanya vizuri.
VI.LAZA wanaoburuzwa na mwelekeo wa upepo wameangukia kwenye kundi la nyodo.Pia kuna watu smart waliojitoa ufahamu na kujipalia egotism.Njaa pia imechangia kuwepo kwa wenye nyodo wengi.
ANGALIZO:
mshana jr kuwekwa kwenye kundi la wenye busara ni alama tosha kwamba uchawi bado upo na unasaidia kwa wanaouamini!
Mkuu sisi tunatengenezea reality hapa JF.Tofauti na humu jf, huko nje waweza kuwa ni mchungaji wangu, WHO KNOWS?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken ID
Teh teh teh teeeeh!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kiuhalisia wachawi halisi huwezi kamwe kuwakuta mitandaoni naweza kuwa victim but in reality I am a mistaken ID
Mazigazi yuko wapi? Aliniamulia siku moja hadi kidogo niombe poo!! I heart Kiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile timu ilikua kiboko mpaka nikafika ile hatua maana mlikua mmenipanda kichwani teh teh..
Yale yalikua si mapenz bali mahaba