Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Hapana, si nshakushuhudia ukiwa mihangaikoni without kabisa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji88] [emoji89] [emoji88] [emoji89] [emoji88] [emoji89] [emoji88] [emoji89]
 
Hii si kweli banaa Nyani Ngabu hekima na busara tele, pamoja na mbwembwe zake ambazo wewe zinakukera. Dunia ndivyo ilivyo huwezi kumridhisha kila mtu.

Nyani Ngabu tabia zake hazina tofauti kabisa na Nyani .Mbwembwe nyingi hakuna busara pale
 
Mimi mzizi mkavu ndo alienifanya mpaka nikaingia jf ana busara na msaada kwa wengi Mimi nikiwa mmoja wao hongera nyingi zimfikie popote alipo
 
Busara si suala la elimu.
madhara ya kujifunzia kiswshili ukubwani ndo hayo, anaropoka sana yule mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…