Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

muambie kama bahili aoe Dada ake[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja aje akupe jibu moja hilo kwakweli litakutosha peke ako mie sikusaidii.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaaa!! Hamna bwana na upole ule!! Muulize hata chige[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila mods walikuwa wanazingua sana.

Sasa wakija wale wa upande mwingine ilikuwa balaa sana. Back those days
 
Mzee mohamed anabusara Sana kwa jinsi anavyoshambuliwa lakini anajibu kwa busara Na hekima hata kama anawakwaza baadhi ya watu
 
Wengi nawakubali except wale wanaotetea maovu kwa ajili ya kulinda mkate wa kila siku kwa matumbo tu
 
Hahahaaa!! Hamna bwana na upole ule!! Muulize hata chige[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ah! Wee si shangazi yake na Mama Maria Theresa wewe!! Mi mtu akinizingua nampa first warning, nimempenda sana second warning lakini ikiwa warning itamvimbisha kichwa najiandaa kwa ban!
 
Ah! Wee si shangazi yake na Mama Maria Theresa wewe!! Mi mtu akinizingua nampa first warning, nimempenda sana second warning lakini ikiwa warning itamvimbisha kichwa najiandaa kwa ban!
Hahahaaaa!! Eti shangazi yake nani?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila mods walikuwa wanazingua sana.

Sasa wakija wale wa upande mwingine ilikuwa balaa sana. Back those days
Ila walikuwa wakorofi na wachokozi hao!!! Hatupumui muda wete wanashinda kwetu
 
Walikuwa wanaboa sana. Ila cute b ban zilimuandama sana.

Pwilo
Peterchoka
Diva Beyonce
Nifah
Avemaria
Na wengine wengi
Mmenikumbusha mbaliiiiii
Avemaria mpaka akajitoa JF jamani!
Nililiaaaa maana kumbe alinicheki PM kuniaga week moja kabla na mimi nilikuwa busy sikuingia JF zaidi ya week.
Dah!
 
Mmenikumbusha mbaliiiiii
Avemaria mpaka akajitoa JF jamani!
Nililiaaaa maana kumbe alinicheki PM kuniaga week moja kabla na mimi nilikuwa busy sikuingia JF zaidi ya week.
Dah!
Kitambo sana. Ndo kapotea kabisa humu maana sijamuona mda mrefu sana.

Nakumbuka Kiba anatoa video ya chekecha cheketua Nifah ulibidi uje maana uliaga sababu ya mfungo kama unakumbuka
 
Mmenikumbusha mbaliiiiii
Avemaria mpaka akajitoa JF jamani!
Nililiaaaa maana kumbe alinicheki PM kuniaga week moja kabla na mimi nilikuwa busy sikuingia JF zaidi ya week.
Dah!
Yaani acha kabisa, i miss thoz grt dayz, siku ikipita haujaingia jf unahisi kuumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…