Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Kitambo sana. Ndo kapotea kabisa humu maana sijamuona mda mrefu sana.

Nakumbuka Kiba anatoa video ya chekecha cheketua Nifah ulibidi uje maana uliaga sababu ya mfungo kama unakumbuka
geniveros sijui alikuwa anafundisha watoto wa watu saa ngapi mtumishi wa uma yule!!
 
Namkubali Mkwepa Kodi huyu jamaa anabusara sana.
Lakini Huyu jamaa anaejiita Muda Wote ana nyodo sana.
Simiyu yetu ndiyo kazidi kwa Maneno ya kuudhi.
 
Nakumbuka hadi ukataka kuunua line ya airtel,. It was a family kabisa yaani, hadi raha.
Dah una kumbukumbu sana atoto [emoji119][emoji119][emoji119] shkamoo.
Kweli nilinunua, ndiyo ninayotumia hadi hivi sasa kwa data.
Sure...namiss sana nyakati zile.
Na ndio hazirudi tena [emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Damn!Naumwa ujue?
Hadi umenichekesha.
Zile timu ilikua hatari...yan tunashinda kwenye uzi wenu humo humo kudadek
Nakumbuka hata sikuangalia video ya Kiba chekecha ila niliiponda vibaya [emoji23]
Namkumbuka sana. Naona yupo tu humu. JF addiction ile

Ila zile timu acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…