Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Akina sisi haoMakapuku wana busara sana
Wakongwe wamejaa nyodo km maembe dodo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Teh teh teeeeh!! Naachaje kukumbuka tena zile good times[emoji12] [emoji12] [emoji12]Dah una kumbukumbu sana atoto [emoji119][emoji119][emoji119] shkamoo.
Kweli nilinunua, ndiyo ninayotumia hadi hivi sasa kwa data.
Sure...namiss sana nyakati zile.
Na ndio hazirudi tena [emoji24][emoji24][emoji24]
Ayayayaaaaaaa!!! Acha basi maana daah!!Sema AlikibaView attachment 394130
Sio siri i miss that good big family.Tukaona isiwe tabu. Mmoja mmoja tukajitoa kule maana ilikuwa kero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe uwiiiiiZile timu ilikua hatari...yan tunashinda kwenye uzi wenu humo humo kudadek
Nakumbuka hata sikuangalia video ya Kiba chekecha ila niliiponda vibaya [emoji23]
Haha watu wamepotea kabisa zile timu ilikua burudani tosha"Mazigazi yuko wapi? Aliniamulia siku moja hadi kidogo niombe poo!! I heart Kiba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimerelaxMi namkubali sana lakini pia Mind
Anyway relax
Burudani na pressure juu.Haha watu wamepotea kabisa zile timu ilikua burudani tosha"
Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe uwiiiii
Pressure zilikuwa juu msanii wenu akitoa video upande wa pili watasema nini.
Vita ilikuwa kali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UKAWA ilitupatanisha tuliokuwa wengi.Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama wangeruhusu ingekuwa hatari sana. Now sumbai kawa rafiki yangu sanaHahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiiiii na namshukuru Mungu tuliibuka washindi kwa tuzo nyingi.Aisee sio mchezo. Nakumbuka tu(n)zo za kili. Ule Uzi tuliwanyoosha sana
Kweli babu yetu Lowassa alitupatanisha maana nikashangaa nakupenda bure [emoji2] [emoji2]UKAWA ilitupatanisha tuliokuwa wengi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lile lilikuwa jambo zuri sana La sivyo tungejuta sana.Uwiiiii na namshukuru Mungu tuliibuka washindi kwa tuzo nyingi.
La sivyo tungehama JF kwa muda kama wapinzani wetu walipotea week [emoji23][emoji23][emoji23]