Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Dah una kumbukumbu sana atoto [emoji119][emoji119][emoji119] shkamoo.
Kweli nilinunua, ndiyo ninayotumia hadi hivi sasa kwa data.
Sure...namiss sana nyakati zile.
Na ndio hazirudi tena [emoji24][emoji24][emoji24]
Teh teh teeeeh!! Naachaje kukumbuka tena zile good times[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Zile timu ilikua hatari...yan tunashinda kwenye uzi wenu humo humo kudadek
Nakumbuka hata sikuangalia video ya Kiba chekecha ila niliiponda vibaya [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe uwiiiii
Pressure zilikuwa juu msanii wenu akitoa video upande wa pili watasema nini.
Vita ilikuwa kali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na kedrick mlikuwa mnazingua sana hapo bado hajaja sumbai[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe uwiiiii
Pressure zilikuwa juu msanii wenu akitoa video upande wa pili watasema nini.
Vita ilikuwa kali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeeee huyuuu anaeitwa mahondaw sijui kwa sababu ni mzuri sana Ndio maana anafanya hayaaa mi sijui hawezi changia humu hata ukimmention labda leo ngoja tusubiri[emoji144]
 
Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
UKAWA ilitupatanisha tuliokuwa wengi.
 
Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama wangeruhusu ingekuwa hatari sana. Now sumbai kawa rafiki yangu sana
 
Aisee sio mchezo. Nakumbuka tu(n)zo za kili. Ule Uzi tuliwanyoosha sana
Uwiiiii na namshukuru Mungu tuliibuka washindi kwa tuzo nyingi.
La sivyo tungehama JF kwa muda kama wapinzani wetu walipotea week [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiiii na namshukuru Mungu tuliibuka washindi kwa tuzo nyingi.
La sivyo tungehama JF kwa muda kama wapinzani wetu walipotea week [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lile lilikuwa jambo zuri sana La sivyo tungejuta sana.

Tatizo tuzo za nje
 
Back
Top Bottom