Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
vote vote vote... [HASHTAG]#uzalenzo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wameshaelewa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mtanyookatuu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tumeshanyookainamenisasa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wazee[/HASHTAG] #wa [HASHTAG]#DNA[/HASHTAG]
Hii familia nimeikumbuka sana. Kuna kamsemo ka kwa majirani pamenunaa
Burudani na pressure juu.
Watu temper zinapanda hadi tunakula ban unafanya masikhara?
Matusi nje nje [emoji23][emoji23][emoji23]

Big family. Namuona Shardcole analisongesha

Sio siri i miss that good big family.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] vote vote vote for WizKid.

Majirani wamenuna
 
Yaani acha tu, kwao kukinuna wanakuja kukinukisha, kama huyu bansenburner alikuwa na makero jamani, unamtukana kimoyo moyo tu.
 
Yaani acha tu, kwao kukinuna wanakuja kukinukisha, kama huyu bansenburner alikuwa na makero jamani, unamtukana kimoyo moyo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna siku mlinichangia ww nifah Beyonce cute b dah nilijuta kuzaliwa sikuile alaf ndio nilkua naingia ingia jf teh teh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna hiyo moja nilikuwa naipenda
#TutaheshimianaTu#
Dah zile enzi za dhahabu hazirudi tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna siku mlinichangia ww nifah Beyonce cute b dah nilijuta kuzaliwa sikuile alaf ndio nilkua naingia ingia jf teh teh
Alafu sijui mlitokea wapi rundooo,kazi yenu kuchafua hali ya hewa tu!
 
K 4 LIFE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaanzisha thread anakuambia muambie ni nani anayeitwa K 4 REAL akupe pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nacheka sana pipo za upande wenu zilivyokuwa zikimwaga povu
Hahahaaaa!! Yaani thread zake zilikuwa zinanichekesha, basi tu kuudhi watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tulikuchambaaaa maana ulizidi na wewe.
A.K.A kisheti cha mombasa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa" ukafunga ukapotea video yacheketua imetoka nakuona unaranda randa kwenye nyuzi nilicheka..
Et nimekuja tu mara 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…