vote vote vote... [HASHTAG]#uzalenzo[/HASHTAG]Hahaha noma yan jf wangekua wanaruhusu matuc basi kila aina ya tusi tungetukana kipindi kile...
Yan kama nifah sikutegemea tunaweza kuja patana ww [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[HASHTAG]#wameshaelewa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mtanyookatuu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tumeshanyookainamenisasa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wazee[/HASHTAG] #wa [HASHTAG]#DNA[/HASHTAG]
Hii familia nimeikumbuka sana. Kuna kamsemo ka kwa majirani pamenunaa
Burudani na pressure juu.
Watu temper zinapanda hadi tunakula ban unafanya masikhara?
Matusi nje nje [emoji23][emoji23][emoji23]
Big family. Namuona Shardcole analisongesha
Sio siri i miss that good big family.