[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa" ukafunga ukapotea video yacheketua imetoka nakuona unaranda randa kwenye nyuzi nilicheka..
Et nimekuja tu mara 1
Hahahaaa!! Mbona atanyooka!
Anajifanya katusahau huyu
Huyu naona anataka kutuchokoza.Mambo gani analeta hapa?
Tutamgeuka hapa sasa hivi...ohooooo [emoji12][emoji12]
Mnamkumbuka muuza njiwa? Ha Ha haHahahaaaa!! Yaani thread zake zilikuwa zinanichekesha, basi tu kuudhi watu.
Jamani watu hamsahau [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa" ukafunga ukapotea video yacheketua imetoka nakuona unaranda randa kwenye nyuzi nilicheka..
Et nimekuja tu mara 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnamkumbuka muuza njiwa? Ha Ha ha
Hahahaaaa!! Haki jf raha kweli, sijui kapotelea wapi!Mnamkumbuka muuza njiwa? Ha Ha ha
hivi yuko wapi huyu bibi? siku hizi haonekaniNyodo zimuendee Faizafoxy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mshana jr ana majibu ya busara ila ukimtibua aroooo unajuta
Dah! atoto siku hizi kicheko chako kipo sexy ile mbaya... au ushakuwa akubwa?!! Hebu niwekee clip ya hicho kicheko... please!!Hahahaaa!! Hebu usivunje mbavu zangu bwana.
Basi sawa atoto, nitasubiri subiri kidogo kwa siku mbili tatu hivi!!Bado sijakuwa bwana, subiri subiri kidogo.
Oooh! hapo sawa kabisa.Basi sawa atoto, nitasubiri subiri kidogo kwa siku mbili tatu hivi!!
Lakini nikiona unapiga stori za kikubwa tu popote pale n'tajua ushakuwa no longer atoto but tayari akubwa!Oooh! hapo sawa kabisa.