Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa" ukafunga ukapotea video yacheketua imetoka nakuona unaranda randa kwenye nyuzi nilicheka..
Et nimekuja tu mara 1

Hahahaaa!! Mbona atanyooka!

Anajifanya katusahau huyu

Huyu naona anataka kutuchokoza.Mambo gani analeta hapa?
Tutamgeuka hapa sasa hivi...ohooooo [emoji12][emoji12]

Hahahaaaa!! Yaani thread zake zilikuwa zinanichekesha, basi tu kuudhi watu.
Mnamkumbuka muuza njiwa? Ha Ha ha
 
Back
Top Bottom