Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Chief mkwawa
Mshana Jr
Kolelosi
Kasinde
Miss chagga
Valentina
Mohamed saidi
Andrew nyerere
Hawa wamejawa busara
Asante ndugu yangu kumtaja mkuu wa kazi CHIEF MKWAWA
Huyu jamaa natamani nijue umri wake. Anajitoa kwa watu bila malipo.
Siku moja alikua anamwelekeza kijana mmoja alojaa matusi but @Chief_Mkwawa hakupaniki.
Jamaaa ni tegemeo la JF kwenye technology
 
Heaven Sent ni dada mzuri, hana nyodo na mtu, acha kuonea watu mkuu mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni kama mlishindwana PM please malizaneni huko huko!
Do your jf name/ID a favor. Only if you know what i mean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…