Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Asante ndugu yangu kumtaja mkuu wa kazi CHIEF MKWAWAChief mkwawa
Mshana Jr
Kolelosi
Kasinde
Miss chagga
Valentina
Mohamed saidi
Andrew nyerere
Hawa wamejawa busara
Huyu jamaa natamani nijue umri wake. Anajitoa kwa watu bila malipo.
Siku moja alikua anamwelekeza kijana mmoja alojaa matusi but @Chief_Mkwawa hakupaniki.
Jamaaa ni tegemeo la JF kwenye technology