White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Hahaha,Nakukubali pia mkuu sema si rahisi kuwakumbuka wote mana watu wengi humu wapo makini.mimi je.?[emoji12]
Hahaha,Nakukubali pia mkuu sema si rahisi kuwakumbuka wote mana watu wengi humu wapo makini.mimi je.?[emoji12]
Umetisha sana kwahiyo FaizaFoxy ni busaraless?Lakini kuna kipindi mshana jr aligaragazana na faizafoxy,
Tuliokuwa karibu tulitumia busara sana kusuluhisha.
Chief mkwawa
Mshana Jr
Kolelosi
Kasinde
Miss chagga
Valentina
Mohamed saidi
Andrew nyerere
Hawa wamejawa busara
huvumi lakini umoOyooooo.... Nimependa hiyo "mwanamke wa maisha yangu"
Mungu awafikishe mbali zaidi
Google...
Kama kawahuvumi lakini umo
usa baby kesha sepa?Kama kawa
Yupousa baby kesha sepa?
huyu nshomile wa kisukuma anakuonea donge tuKwendraaaaaaaaaaaaaa
Hahhaa bi mkubwa huyu Mr mihogo atakuwa amemiss yale mabusu 6 aloyasema siku zile
Hahaha Ahsante mama mzaa chemahuyu nshomile wa kisukuma anakuonea donge tu
Long time no see Dada. Miss you
Nipo poa kabisa. Sijui wewe Daday
miss you more, upo mdogo wangu?
Le Mutuz akili kubwa...ana busara.
Mohammed Saidi
Busara 100%
nipo my dear, have a blessed evening.Nipo poa kabisa. Sijui wewe Dada