Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Wenye nyodo ni:

GENTAMYCIN
NYani Ngabu


Wenye busara :

Mshana Jr
Tized
Matola

Nampenda Faiza fox (japo ana nyodo pia),majibizano yake na mshana huwa yanataka kumtoa mshana kwenye kundi nillomuweka
 
Yuko wapi cute b ? Kapauka sasa hivi anajificha....mimi nilikuwa namng'arisha mjini hapa! Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa!
thubutuuuu! yaani ukimuona sasa hivi lazima udate, anang'aa kama nyota, kweli ulikuwa unamfubaisha mdogo wangu.
 
Mohammed Saidi
Busara 100%

Naunga mkono. Siku alipomsifia Dau ukurasa mzima eti tu sababu alinunua ukurasa mzima wa gazeti la Uhuru (ambalo ukifungiwa maandazi page yake lazima upate kipindupindu) kwa ajili ya tanzia ya Marehemu Shehe Tambaza ndio nilijua huyu mzee ana busara. Yaani kwa akili yake na udini alionao.....salute! Bila shaka mwajuana
 
Back
Top Bottom