Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Kwani BIGMIND vipi hayuko poa[emoji15] [emoji15] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] ??
 
Oooh kumbe!! Basi nikomaze wewe tu.
Afadhali... mimi tu! Kwahiyo ukishakuwa akubwa au tayari ushakuwa akubwa sema pale mwanzoni kusema bado ni atoto ilikuwa ni yale mambo ya kujing'ata ng'ata vidole tu?!
 
Afadhali... mimi tu! Kwahiyo ukishakuwa akubwa au tayari ushakuwa akubwa sema pale mwanzoni kusema bado ni atoto ilikuwa ni yale mambo ya kujing'ata ng'ata vidole tu?!
Bado sijakua, ndio nataka unikuze.
 
General Galadudu... Huyu jamaa ana busara sana!! Sijui kapotelea wapi siku hizi.. Much respect kwako Jenerali
 
Back
Top Bottom