Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

HApana mkuu ni desturi yangu kuto mgasi mtu anapofanya mambo yake. Kujua ni mwana jf ni vile jicho halina mpaka wakati natazama
Dirishani nikaona icon ya jf kwenye screen yake
hakuna cha desturi wala nn...sema hukujiamini
 
Mkuu hao uliowataja hawapandi daladala[emoji12] (kidding)
 
Hahahaha mkuu domo tenga nisinge msalimu. Nilimsalimu na kutazama mood. Wlinijibu na kwa saikolojia alionekana kuwa busy na kile anachowasiliana hivyo asingetoa ushirikiano kwa wakati ule.
Hahahaha
 
HApana mkuu ni desturi yangu kuto mgasi mtu anapofanya mambo yake. Kujua ni mwana jf ni vile jicho halina mpaka wakati natazama
Dirishani nikaona icon ya jf kwenye screen yake
Sasa unamvyo muulizia hapa kama anafanya mambo yake ya kuchat huoni kama una mgasi?
 
Approach ya jamaa ni nimependa.....huenda hajapanda daladala...wala nin ila demu aliekaa nyuma ya daladala atamtafuta....hahaaah
 
Hao uliowataja wako njema. Hawapandi daladala, wana watu wao wenye pesa ka za mhasibu.
 
Maujanja
 
sasa umeshindwa kumsemesha mkuu... ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!!
Nilimsalimu mkuu. Alivyojibu kwa msingingi wa verbalna non verbal communication nikaona asingeqeza toa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…