Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

Mkuu....
Wenye mawazo kama haya ni akina sisi wa enzi za The Home of Great Thinkers.
Hawa wavulana walio maliza juzi wanatusumbua tu humu, ebu ngoja matokeo yatoke wapunguage tu humu
Achaa mambo ya ajabu , haya ni matusi, hebu tazama profile yangu na yako nani ameanza kuwa mdau wa Jf. Huku ni kujitukana tu kijana.
 
Mkuu....
Wenye mawazo kama haya ni akina sisi wa enzi za The Home of Great Thinkers.
Hawa wavulana walio maliza juzi wanatusumbua tu humu, ebu ngoja matokeo yatoke wapunguage tu humu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Unakuta dogo wa 4m4 anasoma huku kashika korodani halaf anatarajia afaul
 
Mkuu siku nyingine ukae siti za mbele.

Hiyo siti na opportunity uliyopata hujavitendea haki.
 
Mkuu huyo binti hawezi akakuinbobo hata kidogo, trust me.
Ungekua smart ungemuongelesha japo kidogo, mfn ungemwambia - Dada hebu nipe updates ya uzi unaotrend JF, maana shughuli zimenibana hata siingii JF siku hizi. Baada ya hapo story zingechanganya. Ungemlipia nauli nk nk.

Baada ya kufanya hivyo ndio ungekuja na huu uzi, kama ni urafiki tu wa kuchat lazima angekufata kwa inbobo. Lkn kwa udomo zege wako, huyo bidada keshakuona dume kaptura.
hahaaaa kulipa nauli ndo cha muhimu
 
Sasa wewe jamaa badala ungemuwahi hapo hapo uchukuwe no unakuja kumtafta gizan ? yaani hata kuomba no ulishindwa ? kutakuwa na tatizo mahal
 
Hatari sana mwanamme mzima kutafuna vyura mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Vipi alikuwa na tako kubwa? au sura tu ambayo hata mbuzi anayo.
 
Back
Top Bottom