Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Bilashaka domo limejaa meno...[emoji23] [emoji23]Mdomo umemeza chura mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilashaka domo limejaa meno...[emoji23] [emoji23]Mdomo umemeza chura mzee?
Achaa mambo ya ajabu , haya ni matusi, hebu tazama profile yangu na yako nani ameanza kuwa mdau wa Jf. Huku ni kujitukana tu kijana.Mkuu....
Wenye mawazo kama haya ni akina sisi wa enzi za The Home of Great Thinkers.
Hawa wavulana walio maliza juzi wanatusumbua tu humu, ebu ngoja matokeo yatoke wapunguage tu humu
Ulifanya nini sasa wewe?Ohooo......[emoji87]
Kumbe nilikua nimekaa na wewe mibashara.....[emoji15] [emoji15]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Unakuta dogo wa 4m4 anasoma huku kashika korodani halaf anatarajia afaulMkuu....
Wenye mawazo kama haya ni akina sisi wa enzi za The Home of Great Thinkers.
Hawa wavulana walio maliza juzi wanatusumbua tu humu, ebu ngoja matokeo yatoke wapunguage tu humu
Wengine baba zenu humu hahaha[emoji12] [emoji12] [emoji12] Unakuta dogo wa 4m4 anasoma huku kashika korodani halaf anatarajia afaul
Mkuu..... nahisi nilimuona, lakini skuizi nilisha acha kuzoza....[emoji5] [emoji5]Ulifanya nini sasa wewe?
Au mzee siku izi unatafuna tumbaku?, manake ni maajabu watu unaowajua kutowapa hi!Acha uchezi , u much know haukusaidii
nimempaAu mzee siku izi unatafuna tumbaku?, manake ni maajabu watu unaowajua kutowapa hi!
hahaaaa kulipa nauli ndo cha muhimuMkuu huyo binti hawezi akakuinbobo hata kidogo, trust me.
Ungekua smart ungemuongelesha japo kidogo, mfn ungemwambia - Dada hebu nipe updates ya uzi unaotrend JF, maana shughuli zimenibana hata siingii JF siku hizi. Baada ya hapo story zingechanganya. Ungemlipia nauli nk nk.
Baada ya kufanya hivyo ndio ungekuja na huu uzi, kama ni urafiki tu wa kuchat lazima angekufata kwa inbobo. Lkn kwa udomo zege wako, huyo bidada keshakuona dume kaptura.
Hatari sana mwanamme mzima kutafuna vyura mzeeBilashaka domo limejaa meno...[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatari sana mwanamme mzima kutafuna vyura mzee
KBT means Kazi Baada ya TabuNaomba unipe kirefu cha kbt ili Niki inbobo
Mkuu kakamilika idara zoteeVipi alikuwa na tako kubwa? au sura tu ambayo hata mbuzi anayo.
Basi ulifanya makosa makubwa sana kutouza sera za chama chako mapema, pole snMkuu kakamilika idara zotee