Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

Sasa kama yumo umu akusaidiej manake chance umepata kuitumia sasa iweje,..?
 
FIKRA ZA HARAKA.

Ulishindwa hata kuangalia uzi aliokua anachat ukaukariri na comment zake ukatumia hizo kumfuata PM tena hata hapo hapo, kwa akili hio tuu angekubali ww n sheedah ungesha chukua point zaid ya 50%.
unakuja kutezeza humu mzee?
 
Hahaha mkuu ilikuwa ngumu kufanya hivyo zaidi alikuwa ametazama Profile ya joanah
 
FIKRA ZA HARAKA.

Ulishindwa hata kuangalia uzi aliokua anachat ukaukariri na comment zake ukatumia hizo kumfuata PM tena hata hapo hapo, kwa akili hio tuu angekubali ww n sheedah ungesha chukua point zaid ya 50%.
unakuja kutezeza humu mzee?
Mkuu....
Wenye mawazo kama haya ni akina sisi wa enzi za The Home of Great Thinkers.
Hawa wavulana walio maliza juzi wanatusumbua tu humu, ebu ngoja matokeo yatoke wapunguage tu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…