- Thread starter
- #101
Kwa kweli mkuu,Ila ni muungwana nadhani atanitafuta tuBasi ulifanya makosa makubwa sana kutouza sera za chama chako mapema, pole sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mkuu,Ila ni muungwana nadhani atanitafuta tuBasi ulifanya makosa makubwa sana kutouza sera za chama chako mapema, pole sn
Mwanamke asiye ndugu yako awe rafiki yako ili???Point rafiki. Na hasa hili ndio kusudio langu ingawa nshangawmzwa na wadau wengine wanavyowasilisha comment zao kwa mawazo hasi mara domo temga mara zege. Wasichoelewa mimi nilipenda awe rafiki yangu wa chati ndio maana sikusita kuweka wazi kwenye uzi wamgu na naamini kwa nilivyomuona na busara Ake akiona huu uI ata ni Pm
Kwa hali hii ngumu ya mjomba Magu atakutafuta tu kwakweli binafsi nawakimbia sana sasahv maana ni full kusumbuliwa mpaka nahisi nina nyota ya Ukimwi.Kwa kweli mkuu,Ila ni muungwana nadhani atanitafuta tu
🙁🙁 Hii ndio tatizo lako mkuu. Having a network sio lazima iwe ni network ya ngono. Unaweza fanya kuwa yenye sifa nyingine ushauri , fulsa za kibiashara nkMwanamke asiye ndugu yako awe rafiki yako ili???
Wewe ni shosti?
Epuka kuwa negative unaambiwa nilikuwa nacheki kwa dirishani sasa jicho halina pazia wakati narejesha nikaona icon. Thus y sina details zakekama ningekuwa mpiga chabo ningalikuwa na full detailsNyie ndio wapiga chabo kwenye simu za wezenu wakiwa wanachart kwenye matatu!
Pole sana mkuu. Wasaidie tuKwa hali hii ngumu ya mjomba Magu atakutafuta tu kwakweli binafsi nawakimbia sana sasahv maana ni full kusumbuliwa mpaka nahisi nina nyota ya Ukimwi.
HahahahaZege ulilonalo mdomoni unaeza jenga ghorofa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee hata siku ingine usituletee thread ya watu kama waliomeza vyura
Hahahaha, mkuu wait soon nitakuja na mrejeshoMzee hata siku ingine usituletee thread ya watu kama waliomeza vyura
Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mbona sisi unatugasi?HApana mkuu ni desturi yangu kuto mgasi mtu anapofanya mambo yake. Kujua ni mwana jf ni vile jicho halina mpaka wakati natazama
Dirishani nikaona icon ya jf kwenye screen yake
Makumbusho iko mkoani hata hivyo, huenda hajakoseaMimi wa mkoani mkuu
Makumbusho hata sipafahamu eti[emoji28] [emoji28]
Hujui wataalam wa kuchungulia eee!Ndio maana simu yangu ina cover kubwa kwa juu hakuna anayechungulia [emoji23][emoji23]
HhahahaaHujui wataalam wa kuchungulia eee!
Kuna watu wanachungulia kama goli la kichuya kwa yanga
Kwani nilipanga kuchungulia basi , ilikuaga ni kutazama kwa dirishaNdio maana simu yangu ina cover kubwa kwa juu hakuna anayechungulia [emoji23][emoji23]