Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

Wezi waliopulizia dawa za usingizi wakaingia kuiba kwa jamaa
 
Mimi, ule uzi wa JK alivyotoroka jeshini Monduli!
Huu uzi, ndio ulionishawishi nijisajiri hapa, Jf! Kabla ya hapo, nilikuwa naingia nikiwa ni mgeni!
 
Kwa kwel zote kwangu shwari tu,zote zinanifurahisha,ila kuna mtu nisipoona coment yake nakosa hamu ha kula,ila jf kila kitu kwangu shwariiiiiiii,,
 
Ni nyingi aisee siez kumbuka

Ila huu pia nitakuwa naupitia kila siku mana nimecheka sana
 
Jitahidini muweke na link ya uzi huo ili walioukosa wapate utam pia
 
Mi nakumbuka siku fulani mwaka nimesahau niliwahi kukutana na uzi jamaa anawadiss Wanafunzi wa vyuo wanaoning'iniza vitambulisho hata wakiwa nje ya chuo. Basi akatokea jamaa akamquote "Kwani kuna tatizo? Kama unaona wanafaidi na wewe chukua kadi yako ya bima ning'iniza shingoni". Aisee nilicheka sana siku ile.

Pia kule kwenye uzi wa wazee wa mikeka kuna jamaa povu lilimtoka kisa kuna mwanachama dau lake aliliweka kwenye mtindo huu 10k. Niwe mkweli nimeshakutana na matukio ya kukurupuka ila huyu ndugu yangu alitia fora. Yeye alidai huo ni ulimbukeni kutumia k(akiwa na maana ya Kenyan Shilling) badala tsh.
Ila baada ya ubishani mkali jamaa akasema alikuwa anatujaribu tu.


Vipi wewe tukio gani limewahi kukufurahisha,kuchekesha ama kukushangaza?
kweli kabisa mkuu maana na baadhi ya mada zimejadiriwa ni Tamu sana, Jamii Forum inasaidia katika kuwapa watu wengi maarifa
 
Haki yanani umeniwahi hivi nilitaka niusakue niweke link. .bonge la uzi huu nakumbuka enzi zile najiunga jf..
Haha aseeh huyu jamaa alinichekesha hatari ile kufukazana na Askari wa kichina
 
Haha aseeh huyu jamaa alinichekesha hatari ile kufukazana na Askari wa kichina
Ilinichekesha sana aisee ile
Halafu na yule aliyekua anashuka kwenye baskeli nguo ikakwama kwenye pedali akadondoka mbele za watu bar alinichekesha san..
 
Back
Top Bottom