Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
nyuzi zote umeona ule tu hata me naona huyu Daby hana akili nzuri hahahhSijui kama anaikili nzuri huyu Daby mwenyewe ananifurahisha acha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyuzi zote umeona ule tu hata me naona huyu Daby hana akili nzuri hahahhSijui kama anaikili nzuri huyu Daby mwenyewe ananifurahisha acha tu
Za yule Shunie ni nzuri ila zimevaa mlegezo.nyuzi zote umeona ule tu hata me naona huyu Daby hana akili nzuri hahahh
hahahhhZa yule Shunie ni nzuri ila zimevaa mlegezo.
Tena zinanin'gia kama popo.. soon zitadondoka.. whatchhahahhh
Huo ni Uzi bora kwangu tangu JF kuundwaa.Ule wa mazingira hatari zaidi uliyowah kufanyia majamboz aka papuchka
mfyuuuuTena zinanin'gia kama popo.. soon zitadondoka.. whatch
kweli kabisa mkuu maana na baadhi ya mada zimejadiriwa ni Tamu sana, Jamii Forum inasaidia katika kuwapa watu wengi maarifaMi nakumbuka siku fulani mwaka nimesahau niliwahi kukutana na uzi jamaa anawadiss Wanafunzi wa vyuo wanaoning'iniza vitambulisho hata wakiwa nje ya chuo. Basi akatokea jamaa akamquote "Kwani kuna tatizo? Kama unaona wanafaidi na wewe chukua kadi yako ya bima ning'iniza shingoni". Aisee nilicheka sana siku ile.
Pia kule kwenye uzi wa wazee wa mikeka kuna jamaa povu lilimtoka kisa kuna mwanachama dau lake aliliweka kwenye mtindo huu 10k. Niwe mkweli nimeshakutana na matukio ya kukurupuka ila huyu ndugu yangu alitia fora. Yeye alidai huo ni ulimbukeni kutumia k(akiwa na maana ya Kenyan Shilling) badala tsh.
Ila baada ya ubishani mkali jamaa akasema alikuwa anatujaribu tu.
Vipi wewe tukio gani limewahi kukufurahisha,kuchekesha ama kukushangaza?
Haki yanani umeniwahi hivi nilitaka niusakue niweke link. .bonge la uzi huu nakumbuka enzi zile najiunga jf..Planett alinichekesha saana kwenye huu uzi.
Je ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?
Ila kuna watu humu JF daily huwa nikiwasoma lazima nicheke nifurahi.
Haha aseeh huyu jamaa alinichekesha hatari ile kufukazana na Askari wa kichinaHaki yanani umeniwahi hivi nilitaka niusakue niweke link. .bonge la uzi huu nakumbuka enzi zile najiunga jf..
Ilinichekesha sana aisee ileHaha aseeh huyu jamaa alinichekesha hatari ile kufukazana na Askari wa kichina