Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

I am a Sniper
667f6dc00bf3bb0e34637b262fedcce2.jpg
 
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.

Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?

Mimi yangu ni kwasababu mwana usalama kazi ninayoipenda.
Halafu......?
 
0b832185b2f9144dc18b6c44f05e40a6.jpg
. Michael DUDIKOF,, American ninja.... SIMPLE looking... BAD in action,,, don't mess with me....
 
Halafu......?
Halafu halafu ...........kwa maswali hayo hatufiki.....think twice on your own ......halafu..... just read all who responded before you.
 
Back
Top Bottom