Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, karibuHongera sana
Kwanini umefikiria kuchukua nembo ya hali hiyo ndugu ya chuki na kutojali na uwakilishi wa maasi yote.
teh teh tehMi ya kwangu inawakilisha shithole country ambayo mtu mmoja anafanya kuvunja katiba makusudi Na watu zaidi ya 50 wakimshangilia mvunja katiba, ilhali aliapa kuilinda Na kuikheshimu
Amezikwa kama waislamu wanavyozikwa. Limejengewa kwa lengo la kulihofadhiNi mara ya kwanza kuliona hata katika picha....kwahiyo hajafukiwa chini au?
teh..teehh.... [emoji13] [emoji13]ok powa...au muuzaji wa kokoto hutaki kusema...