Baba musa333
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 423
- 238
Huyo mess ndio kiumbe wa ajabuYakwangu inamaanisha kuwa viumbe wa ajabu wanapatikana duniani
Halafu......?Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.
Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?
Mimi yangu ni kwasababu mwana usalama kazi ninayoipenda.