Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Natamani sana nione mchezo huo pia ukipiga hatua nchini....Hashim Thabet aliishia wapi...
Usijali Mkuu Tunapoenda Tutapata Mtawala Mwenye Sera Nzuri Za Michezo. Sasa Waziri Mwenyewe Ni Mwakyembe.
 
Usijali Mkuu Tunapoenda Tutapata Mtawala Mwenye Sera Nzuri Za Michezo. Sasa Waziri Mwenyewe Ni Mwakyembe.
Waziri hawezi kuwa kikwazo kufikia malengo......huku chini tunafanya nini kuleta mafanikio ya mchezo huo.Chama cha mchezo huo na viongozi wake wanafanya nini.Tusiingize siasa ktk michezo hatutafanikiwa
 
mm yangu napenda saana katun ya Ice Age huwa nacheka saana nikiiangali...
 
Watu wengi sana huniambia nina lips zuri..! Ndo sababu ya avatar yangu!
 
Watu wengi sana huniambia nina lips zuri..! Ndo sababu ya avatar yangu!
Good na hongera kwa hizo sifa za lips................na wewe unazionaje lips zako? na hao wengi wanaokuambia ni wanawake au wanaume?
 
Good na hongera kwa hizo sifa za lips................na wewe unazionaje lips zako? na hao wengi wanaokuambia ni wanawake au wanaume?
Ahsante... Both wanawake na wanaume,, hadi mashoga zangu huniambia Byongo hzo lips[emoji5] [emoji5] ... Me najikubali kua na tabasamu la kumtoa nyoka pangoni [emoji12] [emoji12] ..
 
'U can't compare human being with Zlatan'..
 
apathy and justified abhorrence of communist states and everything evil they represented.
 
apathy and justified abhorrence of communist states and everything evil they represented.
Kwanini umefikiria kuchukua nembo ya hali hiyo ndugu ya chuki na kutojali na uwakilishi wa maasi yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…