Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Niliamua kuweka ya kwangu mwenyewe.huku jina likiwa la kijiji ninachotoka.
 
Baada ya kuona jamii inanyanyaswa sana na inaendelea kunyanyaswa, hivyo nikahitaji na ninahitaji jamii iliyo huru.
 
Baada ya kuona jamii inanyanyaswa sana na inaendelea kunyanyaswa, hivyo nikahitaji na ninahitaji jamii iliyo huru.
Thats good idea.....Nani huyo anainyanyasa jamii?...... atokomezwe kabisa
 
hahahahahaha ....unawaumiza vijana wenye tamaa ya chini...
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Niliamua kuweka ya kwangu mwenyewe.huku jina likiwa la kijiji ninachotoka.
Good boy......hivi nimesahau siku hizi na mipaka mipya....hicho kijiji kipo Biharamulo au Chato?
 
Avatar yangu nimempenda tu huyo msichana ni mzuri sana,basi nikaiweka nikiamini kila msichana ni mrembo.
 
BUGGATI VEYRON
Ni Gari ambalo kufikia mwaka 2012 lilikuwa bado Ni Gari liliongoza kuwa Gari lilokuwa likiuzwa kwa bei ya Juu sana. Liliuzwa kiasi cha 1.2 b fedha za kitanzania

Nikiwa kwenye maswala ya matembezi na kubadilishana mawazo na madesigner wa magari haya ,walioyaleta Paris France kufanyiwa test nilipata offer ya japo kuingia na kuendesha na kuona comfortability ya Gari hizi .
Kiukweli Ni moja ya Gari zenye nguvu sana na pia sikuwahi kuona Gari inayoperform vizuri barabarani kama ile.
Up today I respect the car that's nikaamua iwe kama ndio avatar Yangu!
 
I believe in distributed leadership, and it's what expressed by my avatar
Good message......But always One leader must lead the leaders in leadership system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…