Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Namaanisha wengi husema maziwa ni lishe na pia yanaondoa ata sum mwilini....ila mimi katika maishayangu cha kwanza kukichukia ni maziwa na nikiyaona nahisi kutapika na siwez kujizuia ata niwe ugenini
Pole sana duuu
 
I love the guy, tyga he is my favorite hiphop artist from cash money napenda swagger zake, life style yake the way anavyo flow etc
 
Aliachwa na mmiliki wake kituo cha treni akakaa hapo kwa miaka 10 akimsubiri arudi ila akurudi paka alivyopata mtu mwingine akamchukua
Aiseeee....alikuwa anakula nini sasa hapo kifungoni?
 
Raisi mpya huyo wa Liberia.....Messi sio kiumbe cha ajabu mbele ya huyo mtu
Yap du alikuwa bado mdogo....nakumbuka AC Milan hapo akichukua uchezaji bora wa Ulaya 1995 na ndipo alipochukua uchezaji bora wa CAF..Africa na pia wa FIFA.........wa Dunia
 
Wakuu bora hata nimepata thread inayoongelea avatar.

Mimi avatar za member wengine hazionekani , yaani naona jina tu. Kuona avatar mpaka niende kuangalia profile ya mtu. Hali hii ni tofauti na nilipokuwa guest. Nisaidieni.
 
Wakuu bora hata nimepata thread inayoongelea avatar.

Mimi avatar za member wengine hazionekani , yaani naona jina tu. Kuona avatar mpaka niende kuangalia profile ya mtu. Hali hii ni tofauti na nilipokuwa guest. Nisaidieni.
Kama hujaweka avatar si rahisi ikawepo kitakachoonekana ni rangi tu na herufi moja ya kwanza ya ID yako
 
Ndo namalizia baadhi ya documents ili nikamdhamini
Hahahahahah ile kesi nzito tena ya kurithi kutoka kwa Boss wake.Kuna mauaji humo,kujenga tunnel au mashimo chini ya ardhi zaidi ya 126 kutoka Mexico kuingia Marekani bila tawala ya Marekani kujua pamoja na doria yote ile.Kumiliki vikundi vyenye silaha na kufanya uhalifu na mauaji.Uuzaji wa mihadarati,heroin,coceine,marijuana kwa nchi za Marekani,Australia,na baadhi ya nchi za ulaya.
 
Kama hujaweka avatar si rahisi ikawepo kitakachoonekana ni rangi tu na herufi moja ya kwanza ya ID yako
Avatar nimeweka pengine haionekani ,lakini Mimi nikigusa kwenye vile vimistari vitatu juu kulia naiona pamoja na ID. Sasa sijui tatizo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…