Mbona avatar yako inaonekana ...ni picha ya Patrice Lumumba wa Zaire ya zamani sasa DRC au siyo hiyo maana ndiyo nayoiona hapa.Avatar nimeweka pengine haionekani ,lakini Mimi nikigusa kwenye vile vimistari vitatu juu kulia naiona pamoja na ID. Sasa sijui tatizo nini
Ndio mkuu avatar yangu inaonekana.Mbona avatar yako inaonekana ...ni picha ya Patrice Lumumba wa Zaire ya zamani sasa DRC au siyo hiyo maana ndiyo nayoiona hapa.
asante huyo kiumbe kweli niwaajabuYakwangu inamaanisha kuwa viumbe wa ajabu wanapatikana duniani
Kweli Mkuu nimeona yako inajieleza, na ndivyo ulivyo.Hahahaa yangu inajieleza wenyewe
hahaaa ndio mkuu wako wakazi huyo ..siumesema wew ni mwana usalamasasa hicho kichwa kina majipu mawili au.........?
Eeewaaah!hahahahahahah mmmmh jamani huyu Trump kweli ni shithole
Asante sana my dear!Hongera kwa avatar yako.
hahaa na umri huo uanze kuimba ule wimbo wa yule mkaa uchi si unataka watoto wako wakukane kuwa wew sio baba yao..Unaingia kwenye Google tu mkuu.
Huwezi kuuona Live.
Nafutilia sana hii miziki.
Lakini haimaanishi kwamba mimi si mpenzi wa musiki wa Dansi ambao ulivuma sana miaka ya mwishoni ya 70, 80 90.
Unafahamu watu kama mimi umri unaanza kututupa sasa, muziki wa kizazi kipya ya akina Gigi Money hasa huu wimbo wake mpya huwa inanichanganya sana.
aiseee [HASHTAG]#mzigua90[/HASHTAG] hahaaa aligoma !!?Uligoma kunitumia picha, ungefanya hivyo kuna kitu ningesema hapa
sasa hukioni mkuu hahaa..duuuu kwahiyo ndo kichwa cha boss wangu hicho.....
Natumia simu , na ni appKwanini hazionekani....unatumia kifaa gani simu au computer au tablet
tupe historia ya huyu mtu basi mkuu