Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Yangu inajieleza. Ninakaribia kuwa mtu nisiefahamika.
 
Ukiingia supermarket waambie wascan avatar yangu nakulipia mzigo wako!!..
 
Napenda ukweli, busara, hekima na encouragements katika kila jambo.

Thus why niliamua kuweka picha ya msela huyo.
Anajulikana sana na vijana wengi wa zamani na wachache wa sasa...che guevara....thats good
 
Back
Top Bottom