secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Na ni Mzee anayeheshimika haswa hapa mtaani. Nililia sana π₯².Ayatollah wa JF , kwa hiyo mzee na masharubu yake ana ID ya kike? Daaah vijana wanatapeliwa sana humu ndani
Daaah! Ni kwamba mzee ni mwiba mchicha au tapeli? π€Na ni Mzee anayeheshimika haswa hapa mtaani. Nililia sana π₯².
Bado sijajua, ila itabidi nimfuatilie.Daaah! Ni kwamba mzee ni mwiba mchicha au tapeli? π€
Mjinga kabisa, unaweza kuhisi unachat na mrembo kumbe dume mwenzioBado sijajua, ila itabidi nimfuatilie.
Nyambafu sana yule mzee.
Hii ni kamba , au changamsha jukwaa asubuhi.Mimi bado najaribu kuelewa huo mchakato wote uliopitia nashindwa
Yakikukuta utajua tu!Mimi bado najaribu kuelewa huo mchakato wote uliopitia nashindwa
ππ Yaani mtu unawahi mapema yote hii kuanzisha uzi wa uwongoHii ni kamba , au changamsha jukwaa asubuhi.
Mzee ajue jf, tena ajue kuwa na id ya kike tena popular halafu ashindwe kufanya some setting kwenye simu yake?
Inakera kaka!Mjinga kabisa, unaweza kuhisi unachat na mrembo kumbe dume mwenzio
Kuna uongo hapaMimi bado najaribu kuelewa huo mchakato wote uliopitia nashindwa
Inakera na kuhuzunisha piaInakera kaka!
kuna mkongwe mmoja(mzee wa kuheshimika) hapa Jf miaka ya nyuma aliumbuliwa na Id yake ya kike akijiita Gilesi, tena akijinasibu ana msambwanda mpk amekosa size chupi ya kumtoshea.Najua nilifanya makosa kuingilia faragha ya mtu lakini ndo hivyo.
Sana tu!Inakera na kuhuzunisha pia
π€π€π€.Unajuaje pengine yeye na mkewe ni member humu na mkewe ametumia simu ya mzee kuingia jamiiforums.....