adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Kupata visa kama hivi tembelea Chai.ComMzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.
Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.
Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama niliingilia JF Kwa account yake.
Dah! yule Mzee ana ID maarufu ya kike 😭😭😭.
Baba yenu nilichoka 🙌.