Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

Huyo mzee bila shaka ndio Binti wa zamani
Rocking Will Smith GIF by HBO Max.gif

Ndiyo mimi bro, ukiingia kwenye 18 zangu utakuja kusimulia humu !
 
Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.

Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.

Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama niliingilia JF Kwa account yake.

Dah! yule Mzee ana ID maarufu ya kike 😭😭😭.

Baba yenu nilichoka 🙌.
Sasa mzee akipitia huu uzi si atakujua, mkuu?
 
Haya maneno ya kuwaambia watoto wenzako wa form 5.


Hivi nyie wavulana hamuogopi kabisa wake za watu eeenhee!

View attachment 3618091
In this universe nothing belongs to anyone...
We are all one, me, you and everything is one

Ila nimekuchagua wewe, idgaf about who owns you. And age is just a number..
 
Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.

Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.

Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama niliingilia JF Kwa account yake.

Dah! yule Mzee ana ID maarufu ya kike 😭😭😭.

Baba yenu nilichoka 🙌.
Umepewa utengeneze ww unaanz akuchokonoa mambo ya watu? Punguza kiherehere… anyway kuwa na ethics na kazi zako
 
Mimi simu mojawapo niliibiwa mwaka Jana, hiyo simu ilikuwa Haina password yeyote, jamii forum ilikuwepo na sikuwa na log out, yaani milango yote ilikuwa wazi...hata mwizi nahisi alifurahi sana maana atakuwa alitoa laini tu na kuendelea kutumia simu na application zote huko
 
In this universe nothing belongs to anyone...
We are all one, me, you and everything is one

Ila nimekuchagua wewe, idgaf about who owns you. And age is just a number..
View attachment 3618096
The Icebreaker si unaona wanavyotakaga matukio wenyewe, sasa mtu kama huyu nikimuibia ninakua na kosa gani 😎?

You know quite sure that my mind can't see any future with them... Mbona chenekoo hange mwanike?
I know nothing apart from, olena tuja nho onyanda bhebhe, nate size yako!
 
Back
Top Bottom