Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
The heart knows the truthI know nothing apart from, olena tuja nho unyanda bhebhe, nate size yako!
The heart knows the truthI know nothing apart from, olena tuja nho unyanda bhebhe, nate size yako!
nate size yako!
Hao ni watu ambao asubuhi wanaweza kuwa wanaume,jioni wakawa wanawake,hii ipo zaidi kwenye hisia na mitazamo yao na sio sexual-wise,Kwamba asubuhi anaweza kujihisi mwanamke akaja na maelezo ya kike jioni anaweza kujihisi mwanaume na vitu kama hivyo yaani!!!Gender fluid ni kitu gani?
Enemy? kwamba watu mna maadui mitandaoni 😳Unamwita huyo aje kukusaidia? Hahaha you know quite sure he's my greatest enemy..
The heart knows the truth
Hebu tafuta kazi ya kufanya kijana 🤦♀️It was love at first sight, nothing, size? Who cares about that mwanike
Kuna siku kili Waka baina ya huyo mtu wakishirikiana na ephen_ waliniweka kikaangoni🤣 sitasahauEnemy? kwamba watu mna maadui mitandaoni 😳
Hatukuja hapa duniani kufanya kazi, tumekuja kuishi.. And I wanna spend time with yah mwanikeHebu tafuta kazi ya kufanya kijana 🤦♀️
Huna akili! Tafuta kazi ya kufanyaKuna siku kili Waka baina ya huyo mtu wakishirikiana na ephen_ waliniweka kikaangoni🤣 sitasahau
Hatukuja hapa duniani kufanya kazi, tumekuja kuishi.. And I wanna spend time with yah mwanike
View attachment 3618124
Si unaona Binti wa zamani you're the only one who gets me in this messy forum hawa they can't ignite that Sapiosexual brain. It's you and you alone mmy😂😂Huna akili! Tafuta kazi ya kufanya
Huna akili! Tafuta kazi ya kufanya
Unaumia na mambo ya humu kubwa zaidi kitu nishasahau na kusahau wewe umekibebelea kama moyo wako.Si unaona Binti wa zamani you're the only one who gets me in this messy forum hawa they can't ignite that Sapiosexual brain. It's you and you alone mmy😂😂
Usiwasikilize wapambe wa kina ephen_
Mbona uko triggered 😂 am talking to another person, ww si umesema nitafte kazi?Unaumia na mambo ya humu kubwa zaidi kitu nishasahau na kusahau wewe umekibebelea kama moyo wako.
Ni utoto unakusumbua au kitu gani
Yaani mambo ya humu ukiyabeba utapata tabu sanaaaaa!Mbona uko triggered 😂 am talking to another person, ww si umesema nitafte kazi?
Mimi mwenyewe narudisha energy iilyo kuja tu mbona, issue inaakuja ww una react badala ya kuendeleza mchezo...Yaani mambo ya humu ukiyabeba utapata tabu sanaaaaa!
Mfano yote niliyokujibu sijamaanisha hata kimoja ndo kwanza nimejilaza kitandani na kitambi changu hata chai sijanywa.
Sasa wewe ukiyabeba kazi kwako.
Utoto raha sana, huu ujinga ukikua utaacha!Hatukuja hapa duniani kufanya kazi, tumekuja kuishi..
Nhenhe nale ngosha 🧔🏾♂️, jichanganye sasa!And I wanna spend time with yah mwanike
Nimekuja as an old soul, Sina haja ya kukua tena. Our souls match and there's nothing to separate usUtoto raha sana, huu ujinga ukikua utaacha!
Lekaga kunilemba mwanike my instincts never lie.Nhenhe nale ngosha 🧔🏾♂️, jichanganye sasa!
Asante kwa darasa.Hao ni watu ambao asubuhi wanaweza kuwa wanaume,jioni wakawa wanawake,hii ipo zaidi kwenye hisia na mitazamo yao na sio sexual-wise,Kwamba asubuhi anaweza kujihisi mwanamke akaja na maelezo ya kike jioni anaweza kujihisi mwanaume na vitu kama hivyo yaani!!!
Anijue tu, wala Mimi sijifichi.Sasa mzee akipitia huu uzi si atakujua, mkuu?
Ilibaki kidogo nimtumie 😂.Duh,
Ulikuwa hujabahatika kumtumia na ya kutolea??
Okay, lakini usisahau kulog out kama siku ile tena. Afadhali Mimi nimekuficha, ila mwingine angekuanika humu.Umepewa utengeneze ww unaanz akuchokonoa mambo ya watu? Punguza kiherehere… anyway kuwa na ethics na kazi zako