secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #121
Nishakujua na dawa yako inachemka 🙃Anijue tu, wala Mimi sijifichi.
Tumpee nini tena 😅😂?
Nisamehe tu, sitarudia tena kukagua simu yako 😅.Nishakujua na dawa yako inachemka 🙃
Utamu 😋.Tumpee nini tena 😅😂?
😂💪🔥Ukitaka upigane na mtu hadi kufa, muombe ID yake ya JF 🤣 bora akupe mshahara wake wa mwaka mzima
Hamna lolote utafanyaView attachment 3618070
Ndiyo mimi, bro ukiingia kwenye 18 zangu utakuja kusimulia humu !
Tena nyie nyumbu wa mama ndiyo nawatafuta sana 😅Ja
Hamna lolote utafanya
😀😀 mimi upande nyumbu ..upande jini..Tena nyie nyumbu wa mama ndiyo nawatafuta sana 😅
Nisamehe tu, sitarudia tena kukagua simu yako 😅.
Asitafute huruma, apambane, mimi mwenyewe natafuta utamu niwaopoe mabinti wadogo wadogo kama akina ShesRise_1 na win-oneUtamu 😋.
Anataka kunifanyaje😂View attachment 3618727
Asitafute huruma, apambane, mimi mwenyewe natafuta utamu niwaopoe mabinti wadogo wadogo kama akina ShesRise_1 na win-one
Hawa makinda wa GenZ bila kuonewa huruma hawatoboi.View attachment 3618727
Asitafute huruma, apambane, mimi mwenyewe natafuta utamu niwaopoe mabinti wadogo wadogo kama akina ShesRise_1 na win-one
Na mimi upande bro, upande shekhe, nitaenda kukupopolea baharini ili majini wenzio washuhudie moto ninaokupelekea 😎!😀😀 mimi upande nyumbu ..upande jini..
Kijana domo zege anatafuta huruma 😅Anataka kunifanyaje😂
Huruma sio maleziKijana domo zege anatafuta huruma 😅
Umemaliza 📌Huruma sio malezi
Kama hana ulimi wa kuchombeza ahakikishe pesa ipo mfuko wa shati
Miss you dear 😘