Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Miss you too kipenzi 🤗😘Miss you dear 😘
Narudi kesho, vipi umeangalia “the polygamist”?
Miss you too kipenzi 🤗😘Miss you dear 😘
Karibu dearMiss you too kipenzi 🤗😘
Hapana japo watu wanaisifia sanaNarudi kesho, vipi umeangalia “the polygamist”?
Don't dare watch that.. Anakufundisha tabia mbaya huyo😂Karibu dear
Hapana japo watu wanaisifia sana
Polee mie ndio hiyo tabia mbaya yenyeweDon't dare watch that.. Anakufundisha tabia mbaya huyo😂
😊☺️Karibu dear
Kuna cha kujifunza, tafuta muda uiangalie!Hapana japo watu wanaisifia sana
Noted sweetie 😘
brooo🤣🤣🤣 nimechekaaaView attachment 3618727
Asitafute huruma, apambane, mimi mwenyewe natafuta utamu niwaopoe mabinti wadogo wadogo kama akina ShesRise_1 na win-one
APo unategemea kikundi au sio bro😀😀...bila kundi unakua mpooooleeeNa mini upande bro, upande shekhe, nitaenda kukupopolea baharini ili majini wenzio washuhudie moto ninaokupelekea 😎!
Bro assist muhimu 🤣🤣🤣 ila hata peke yangu mchezo nauweza 😁APo unategemea kikundi au sio bro😀😀...bila kundi unakua mpooooleee
Akaonewe huruma na mama yake 😎 huku mtaani mabro wote tunakaza tu!Hawa makinda wa GenZ bila kuonewa huruma hawatoboi.
Huyo mzee siyo Lamomy kweli?Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.
Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.
Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama niliingilia JF Kwa account yake.
Dah! yule Mzee ana ID maarufu ya kike 😭😭😭.
Baba yenu nilichoka 🙌.
Hakuna kitu we malaika...uku mtaani kuna majini..ohoooooBro assist muhimu 🤣🤣🤣 ila hata peke yangu mchezo nauweza 😁
Ivi kwanini mpaka mvizie na muwe wengi?? Bro kinachoniogopesha baada ya kutaitiwa ni kupigwa mashine tu..ujue pale ukiachiwa unakua hauko saawa hadi unakufaBro assist muhimu 🤣🤣🤣 ila hata peke yangu mchezo nauweza 😁
Siyo dume mwenziyo, ni dume zee.Mjinga kabisa, unaweza kuhisi unachat na mrembo kumbe dume mwenzio
Kweli kabisa yaani.Akaonewe huruma na mama yake 😎 huku mtaani mabro wote tunakaza tu!